Dr. Slaa live Moshi FM.

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,983
Reaction score
2,341
......ripoti za CAG kuojadiliwa bungeni ni udikteta...
......2004 cdm kiliitwa chama takatifu kwa kuwa hakikuwa kinatishia maisha ya ccm.....hakikuwa kimefika vijijini.
......kuhusu machafuko mtwara....ni udhaifu wa uongozi...iweje rais wetu akatatue migogoro nchi jirani halafu kwake atumie mabomu?
....kuhusu vurugu bungeni kadai kuw Mwaka 2009 spika wa kenya aliwapa semina wabunge wa tz kuwa bunge letu ni kama la masheikh na mapadri na hawataheshimiana hadi siku wanapigana.
......anasema wananchi waache uoga na wadai haki zao kwa kutumia sheria zilizopo.
......Udini ni silaha ya ccm waliyoitumia kuiangamiza cuf na sasa wanajaribu kwa cdm. Kweli alikuwa padri ila upadri alishauweka kando.

Leo atakuw Orkesmet. saa 4 na Mererani saa 9 ila barabara ni kama makalio ya ng'ombe.
 
Duh! hongera sana kamanda wetu.kila la heri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…