Dr. Slaa kutikisa Shinyanga kesho.

Status
Not open for further replies.
Si ameshakula pesa ya mjinga fulani, sasa Baba anafunguka.
 
Baada ya shinyanga atakuja kahama,kakola bulyanhulu hadi geita,nzugi badugu bhane mdegeleke
 
hapo kwenye red, kwani Mh. F.A. Mbowe ni kiongozi wa nini? halafa heading kwamba slaa atatikisa shinyanga kwani shinyanga ni tawi la mti au? halafu slaa anatarajia kuunguruma au kuongea? au kageuka mbojo? toa taarifa iliyonyooka!
 
We ni hewa......hovyo rušiti.

Hopeless!
 
Kamanda harakati mwanzo mwisho mpaka kieleweke hakuna kurudi nyuma.
 
Mkuu Molemo.hebu jaribu kupunguza ushabiki wako,hivi Kiongozi wa upinzani hapa nchini unamjuua?!,Mungu wangu!!!

Anyway maybe ushabiki wako ndio umekufanya ufikie kuandika hivyo lakini pl be carefull.
 
hapo kwenye red, kwani Mh. F.A. Mbowe ni kiongozi wa nini? halafa heading kwamba slaa atatikisa shinyanga kwani shinyanga ni tawi la mti au? halafu slaa anatarajia kuunguruma au kuongea? au kageuka mbojo? toa taarifa iliyonyooka!
Kiswahili chako finyu, toa uzembe wako wa kujifunza lugha hapa.
 
Mkuu Molemo.hebu jaribu kupunguza ushabiki wako,hivi Kiongozi wa upinzani hapa nchini unamjuua?!,Mungu wangu!!!

Anyway maybe ushabiki wako ndio umekufanya ufikie kuandika hivyo lakini pl be carefull.
Kiongozi wa upinzani bungeni? Kiongozi wa upinzani. Mbona mnaanza kufikiri katika Pandora box.
 
halafa heading kwamba slaa atatikisa shinyanga kwani shinyanga ni tawi la mti au? halafu slaa anatarajia kuunguruma au kuongea? au kageuka mbojo? toa taarifa iliyonyooka!

Sauti ya bangi. Unakaribia kutoka nje na kibatali mchana wa saa nane.
 
Hahahaaaaaaaaaa ushindi ni lazima sana hawapenyi hao panya wanaokula nchi!!!!
 
Mkuu Molemo.hebu jaribu kupunguza ushabiki wako,hivi Kiongozi wa upinzani hapa nchini unamjuua?!,Mungu wangu!!!

Anyway maybe ushabiki wako ndio umekufanya ufikie kuandika hivyo lakini pl be carefull.

Acha kuwa hopeless mkuu.Kwa hiyo Dr Slaa siyo kiongozi wa upinzani? Tumuiteje sasa? Tumuite kiongozi wa watawala? Kweli ujinga hauna rangi.
 
Angalizo muhimu kwa viongozi CDM......wekeni ulinzi imara kwa Dr.Slaa na viongozi wengine wa CDM....pia imarisheni amani katika mikutano yenu...hii ikimaanisha msijiingize kabisa kwenye mabishano na polisi.....Hii ni kwa kuzingatia kuwa kwa sasa polisi tz(haswa kanda ya ziwa) wako kwenye stress kubwa dhidi ya yaliyowafika kwa kiongozi wao kule mwanza kuuwawa kinyama.....ikumbukwe kuwa hata DCI Manumba ametoa wito kwa polisi kulipiza kisasi kwa njia yoyote....hivyo shime CDM kueni makini na hawa polisi wa tz.....kwa kutojiingiza kwa namna yoyote ile kwenye mabishano nao kwani kwa tunavyowajua maamuzi yao polisi siku kwa siku yamekuwa na utata na hii huwa inadhiirika baadaye kwenye majuto.....Hatujui this time wamepanga kufanya nini kwa jinsi walivyo desperate......hivyo kuweni makini....
 
Ushauri mzuri sana.Kurugenzi ya ulinzi na usalama nadhani mnasikia haya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…