AirTanzania,
Chadema ni moja. Kwanza ikumbukwe wakati wa Operation Sangara nilikuwa Tanga kama mwaka 1 tu uliopita. Inawezekana hukuweko.Aidha si zaidi ya mwezi 1 Naibu Katibu Mkuu Zitto alikuwa Mkoa wa Tanga. Hivyo dhana unayojenga siyo sahihi. Ni kweli kuna maeneo hasa ya Lindi na na Mtwara ambako hatujafanya ya kutosha. Lakini mwezi December 2011 Makamu Mwenyekiti ZNZ alikuwa na ziara ya Mtwara na Lindi kwa bahati mbaya kwa ubabe mikutano yake yote ilizuiliwa na Polisi. Alifanya mikutano ya ndani takriban wilaya zote.