Ukukikaa kusubiri mwenye jipya utasubiri sana,hakuna jipya kuna mtazamo mpya na mwelekeo mpya tu.
Hatakiwi mtu kuja na jipya ii kufanikishajabo, mtu anatakiwa kuja na mtazamo mpya ili kufanikisha jambo lile lile la zamani.
Mtu mmoja huko ujerumani aligundua injini.
Mwingine somwhere in the world akaiweka kwenye baisikeli, baisikeli ikawa pikipiki.
Mwingine akiweka kwenye kwama la kuvutwa na ng'ombe ikawa gari
Mwingine mwenye upeo zaidi akafunga parafujo akaiweka kwenye pipa lenye mbawa ikawa ndege.
Wote walitumia wazo lilelile la zamani injini katika mtizamo mpya na kupata matokeo mapya muhimu katika ustawi wa jamii.
Mtizamo mpya ukiwekwa katika wazo la zamani mageuzi hutokea.
Hakuna kinachodumu zaidi ya mageuzi.
Kuidumisha kawaida japo kwa masaa machache tu,ni lazima kuyabana na kuyaseta mageuzi kwa kutumia nguvu nyingi za Polisi na za Kijeshi hata hivyo nguvu hizo hazina uwezo wa kuyazuia mageuzi dumu daima.
Tumekupata..
Sidhani kama atakua na jipya!