MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,261
Hapa mwenye tatizo ni wewe kushindwa kuelewa anacho zungumzia
Hebu tufafanulie ulivyoelewa wewe.
Hapa mwenye tatizo ni wewe kushindwa kuelewa anacho zungumzia
Jibu hili swali! - Hivi unaweza kushinda urais na wabunge 23.
Wito kw dr slaa asije hapa jf kujibu hoja ya kipuzi zawatu hovyo km kina riz msalan betlhem,wamegeuza jf kijiw chakahaw
Dr.W.Slaa, uwa anasema Usalama wa Taifa ndiyo waliiba kura zake.
Watu wakimuuliza waliiba vipi hataki kusema.
Cha kushanganza zaidi matokeo ya Ubunge anayakubali ya rais hayataki.
Hivi unaweza kushinda urais na wabunge 23.
Hebu tufafanulie ulivyoelewa wewe.
Nilikuwa nam quote Mwagavumbi, nadhani kuna technical problem hata ukiiangalia ilivyokaa utagundua hilo. Sio kusudio langu.
Halafu ukimkuta anawasikiliza utadhani wanamwambia kitu cha maana, kumbe ujinga mtupu!
wapenzi wa chadema, mmependa hadi hamuoni. Mbona tathimini tu ya kawida ni juzi cdm imeshangiliwa saaana, kisha kupewa viti 3 vya udiwani. Uwingi wa watu kwenye mikutano sio kigeza cha chama kufaniwa kisiasa, bali kupata watu wengi watakaokipia kura. si dhani mafanikio ya cdm ni kuona waru wengi wakikipigia mayowe, bali kuona wanakubalika kwa kura za hao wapiga mayowe. tafakarini wakuu
Mtaongea sana, mtamtukana sana matusi, lakini, Tanzania nzima hakuna mtu kama Dr Slaa, nenda ccm na vyama vingine vyote, niambie ni nani wa kumfananisha na Dr Slaa, huyu ndiye anayewaumiza vichwa mafisadi, kaamua kuwapigania haki wanyonge, msiogope mabadiliko, tulieni, ni kwa maslahi ya wote na vizazi vijavyo, Dr Slaa ana umuhimu sana kwenye hili taifa, na hata mnayemtukana mnalitambua hilo, ila ni za pesa zinawasumbua, mnaana za wazazi wenu, Mungu atawaonesha kuwa Dr Slaa ni nani, si mnajifanya mmepigwa upofu.
mkuu. umemsoma babu slaa hapo juu? anadai hasira inatija....chonde chonde mkuu tufanye harambee huyu mzee akapimwe akili
Hivi daftari likishaboreshwa mtasingizia nini?Hizi mbwembwe zitakoma very soon baada ya kuboresha daftari la wapiga kura. Think twice bro!
mkuu. umemsoma babu slaa hapo juu? anadai hasira inatija....chonde chonde mkuu tufanye harambee huyu mzee akapimwe akili
Ahsante sana Dr Slaa kwa majibu yenye hekima na busara tele.
Kupitia hiyo comment yako hapo juu tegemea kupata mashambulizi yenye kashfa tele kutoka kwa vijana wa Lumumba na watu waliolishwa propaganda za udini aka wafia dini...
Tafadhari Dr Slaa watu kama hao usiwajibu chochote na utuachie watu kama sisi tunawezana nao, ila kwa wale watakaokuuliza maswali kwa heshima na adabu na kwa hoja mzuri basi waweza kuwajibu.
Dr. Slaa kwanza nakusalimu sana!
Pili rejea katika hoja yako ulioitoa hapo juu humu ndani ya JF Leo.