Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Nasikia wanaanza kufurahia kwa kurejeshewa misaada!! Eti Mwigulu Nchemba. Nchemba! Hopeless!
 
mods kama mnataka pesa kuiweka hapo si mseme tutawapa

mkuu hujaeleweka kidogo hebu weka comment yako sawa na sie wenye uelewa mdogo utuwezi kuielewa.
 
Aongei kinafiki Bali kitaaluma zaidi. Wengi mtashindwa kumuelewa maana elimu zenu ccm ni zatumbo na so Kichwa
 
Hotuba hii yafaa kuwa ndio msimamo wa nchi hii.
 
Still the s question remains-are we discussing his speech or delving on his personal life?
 
Kama ameweza kumsaliti mungu wake anayemuabudu atashindwaje kuwasaliti watanzania, huyu mzee ni mnafki na anahangaikia tumbo lake tu full stop
 
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii

If u think so..there is a posibility that u are a real stupid..we dont need somebody like u in tz!is it posible to find country of u a own!
 
Huyu ndiye rais aifaaye tz katika kipindi hiki. Live long Dr Slaa
 
If u think so..there is a posibility that u are a real stupid..we dont need somebody like u in tz!is it posible to find country of u a own!

wewe zombie wa UKAWA unataka nisichallenge hotuba ya mfalme wako wa milele slaa??
 
wewe zombie wa UKAWA unataka nisichallenge hotuba ya mfalme wako wa milele slaa??
Nakuhakikishia HON . DR SLAA hawezi kuvunja rekodi ya dunia ya kubadili mawaziri 60 ! Kwa taarifa yako huyu ndio mtu anayetakiwa kuongoza nchi hii , hongera DR SLAA .
 
Nakuhakikishia HON . DR SLAA hawezi kuvunja rekodi ya dunia ya kubadili mawaziri 60 ! Kwa taarifa yako huyu ndio mtu anayetakiwa kuongoza nchi hii , hongera DR SLAA .

Kipimo chake cha weledi ni kipi?? ndoa yake??
 
Kipimo chake cha weledi ni kipi?? ndoa yake??

Ondoa chuki kwanza tukueleweshe , nina uhakika utaelewa tu , ccm imesababisha maisha magumu kiasi cha kuwafanya vijana mshindwe hata kuona hatua 5 mbele .
 
Ondoa chuki kwanza tukueleweshe , nina uhakika utaelewa tu , ccm imesababisha maisha magumu kiasi cha kuwafanya vijana mshindwe hata kuona hatua 5 mbele .

ainisha chuki katika statements zangu mkuu, kutofautiana mawazo si chuki it is simply an expression of ones point of view.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…