"CDM itakufa kabla 2015" Haya yalikua maneneno ya Mh. wassiraPumbavu Mali tusi? Mwandishi nahisi hujaenda shule wewe.
Unakuza ilo neno kama ni tusi kubwa Daa..mwaka huu kazi mnayo , ila bado mbinu izo ni changa kuiuwa CDM.
kaka waandishi wanakosa gani mbona wamelipoti hali halisi sasa kosa lao liko wapi.
wengine hawasomi jf hivyo to them its news.usijofanye kujua
Nimtu aliye laanika peke yake ndiye anaweza asiyaone maneno haya kua ni matusi. Mtu mwenye nyazfa kama yake hastahili kutoa kauli kama hizi (matusi) tena kwenye vyombo vya habari.nilipoona matusi mazito nikajua sijui matusi ya nguoni kumbe ni matusi ya kawaida tu ambayo hata baba akimwona mwanae hafanyi isivyo atamwambia hivyo matusi anayajua kweli aliyeandika mada hii? , nchemba ndio anayajua matusi mazito.....
haya nayo yamo............
is not an ishue hivi kaka kwa akili kama kweli unafuatilia mambo ya siasa zito hamjui saa nane aah hili hata mtoto humdanganyi.
Sasa, matusi ya Dr Slaa ni yepi hapo?
Utayaona vipi nawewe umekunywa maji ya bendera?Naanza kuwa na wasiwasi, huenda kibanda akawa ameteswa na watu wa Habari Corps anakofanyia kazai kwa sasa. Iweje Mtanzania ambako Kibanda ni bosi waje na hizi tuhuma kila siku ambazo hazina mashiko kama wanataka ku divert uchunguzi halisi.
hayo matusi ya Dr. Slaa mbona sijayaona?
Mkuzi ukiona sehemu panafuka moshi ujue lazima kuna......................................Hizi habari ni za kizushu kutaka kuichafua chadema yetu,washindwe kwa jina la yesu
Enhee Chapa chapa dengoo hadi padri anatukana sasa! au tu question credidibility ya mwandishi tuseme hakutukana aliongea maneno makali.
then baada ya hapo nini toa suruhu acha kuongea vitu vepesi here we are tolking about tanzania hence yeyote anayegusa amani na usalama wa wa taifa na watu wake lazima tuwapige vita kwa nguvu zote.
Nimtu aliye laanika peke yake ndiye anaweza asiyaone maneno haya kua ni matusi. Mtu mwenye nyazfa kama yake hastahili kutoa kauli kama hizi (matusi) tena kwenye vyombo vya habari.