Hivi karibuni kumezuka maneno mengi,hasa baada ya Mufti kuwaasa waislam wasijiunge na maandamano ya kisiasa.Dr.Slaa akimjibu mufti kwa kuwa chadema ndio inayohusika na maandamano alisema Mufti hakufanya utafiti.Mi nikajiuliza mbona kuna mambo mengi tu mufti hakusema na kama angeyasema na kuonesha ushahidi sijui Dr.Slaa angejibu nini? Mfano hadi sasa inaonekana Dr.Slaa alikurupuka kuchukua mwanamke ambaye anamwenyewe, na katika sheria za kanisa ndoa ikishafungwa basi hiyo haivunjiki.Kwa hilo Dr.hakufanya utafiti wa kina.Siku za karibuni pia Dr.Slaa alimzushia kifo Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mh.Yohana Balele,pia hapa hakufanya utafiti.Kwa kweli kwa msomi wa kiwango cha Dr.Slaa hii ni aibu.Ombi langu kwa Dr.Slaa badala ya kulalamika ni aende kumuona Mufti wazungumze ana kwa ana badala ya kujibizana kwenye vyombo vya habari.

Pole una shida ya kisaikologia tafadhali tafuta msaada "rehabilitation". Thats personal affairs una maana huyo mchumba wake ni mtoto ndogo au mjinga kama wewe kwamba anafanya asicho kijua?
Wazo la kulaumu co zuri bt la dr slaa kukaa na mufti ni wazo zuri
bado hata na kukaa na mufti hamna haja. Kama mufti ana shida na dr.slaa aende HQ ya cdm aombe kuonana na dr.tofauti na hapo hata kichaa atatoa tamko na kisha tuombe dr akae naye wamalizane! Kwan mufti ana nini mpaka dr.amtafute? Dr bora aachane na malumbano na watu kama hawa,tujenge siasa na tujenge dini zetu. Kama kuna dini inataka siasa ikajisajili kwa mh.Tendwa ndo tuanze kuipigia kura na kuisikiliza. Bye mkuu.