DR. SLAA Akikabidhiwa Jezi ya CCM

Kwa kawaida, kama ulikuwa mganga wa kienyeji, halafu ukaokoka, ile mitunguli yako, shuka jekundu, ngozi na kila takataka ya kufanyia uganga unaikabizi kwa mchungaji ili ichomwe moto. Ndio shughuli iliyokuwa inaendelea hapo.
 
Mbona sijaelewa kwani kuna mtu alikuwa anasilimishwa UCDM hapo?
 
Anajivua gamba hapo anakabidhi vitu vya magamba kwa dr slaa kwa ajili ya kuchomwa moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…