Z ZIMBOO Member Joined Apr 6, 2012 Posts 23 Reaction score 1 Aug 15, 2012 #1 muda huu Dr.slaa anahutubia wananchi wa kilosa na amevumbua ufisadi mkubwa ktk misaada ya wahanga wa mafuriko kilosa,upolwaji ardhi na uvunjifu wa haki za msingi za kibinadamu
muda huu Dr.slaa anahutubia wananchi wa kilosa na amevumbua ufisadi mkubwa ktk misaada ya wahanga wa mafuriko kilosa,upolwaji ardhi na uvunjifu wa haki za msingi za kibinadamu
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,918 Reaction score 1,236 Aug 15, 2012 #2 Turushie na picha mkuu!! Dr. anafanya kazi kubwa sana, hakika ni mfano wa kuigwa.