rais anaendelea
shein ni rais wa wanaccm na anatambuliwa na wanaccm tu.wananchi hatumtambui kwasababu hajashindaMaana baada ya uchaguzi wa 2015 Jamhuri ya muungano tumepata raisi wa awamu ya tano sasa zbar Shein tutamwita wa awamu gani huyu?Au tutasema rais anayeendelea.
Nadhani itakuwa awamu ya kati!maana ni ccm pekeyao ndio wanajua
Ni wa awamu ya 7(karume, jumbe, mwinyi, abdulwakil, salmin, karume jr na 7.shein)