Dr. Shein kuzungumza na Mabalozi wilaya Mjini kuwapongeza kwa ushindi wa uchaguzi wa marudio

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
DKT SHEIN KUZUNGUMZA NA MABALOZI WILAYA MJINI
zan11.jpg

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama, wakati alipokua akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani


zan12.jpg


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama, wakati alipokua akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,

zan1.jpg
zan2.jpg


Wanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,wakati alipokua akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,

zan3.jpg

Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Kichana Bi,Fatuma Shomari Juma alipokuwa akisoma risala ya Chama Wilaya ya Mjini Kichama wakati wa mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza wanachama cha Mapinduzi Wilaya hiyo uliofanywa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,
zan6.jpg

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mjini Kichama Bw. Juma Fakih Choum akiwasalimia wanachama cha mapinduzi waialaya hiyo wakati wa mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza wanachama cha Mapinduzi Wilaya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,


zan7.jpg

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mjini Kichama Bw. Juma Fakih Choum wakati wa mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza wanachama cha Mapinduzi Wilaya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,
zan8.jpg
Mwanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama Bi.Rukia Omar kutoka jimbo la Kikwajuni alipokuwa akitoa mchango wake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,alipowapongeza na kuwashukuru Wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani

zan9.jpg
Mwanachama cha Mapinduzi wa umoja wa Vijana UVCCM Ashrak Saleh Zingo katika shehia ya kiponda mji Mkongwe wa Zanzibar alipokuwa akitoa mchango wake uliogusia zaidi uvunywaji wa katiba ya Zanzibar unaofanywa na Wanachama cha Upinzania,mchango huo aliuotoa leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani wakati wa Mkutano wa Kuwashukuru Viongozi wa Mashina,wenyeviyi wa Matawi na Maskani uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,

zan10.jpg

Wanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama,wakinyoosha mikono juu kuunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,wakati alipokua akiwashukuru kuwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,
 
RAISI ALALI WA SMZ NA WANANCHI WOTE WA ZNZ
 
Siasa ya zabzibar bado changamoto.
Rais anapaswa kuliangalia hili kwa utulivu, amani ni muhimu kuliko madaraka.
 
Back
Top Bottom