DR SHEIN kufunga kampeni chalinze ni uoga.

Anadumisha muungano kwa vitendo.
 
cc ccm tuna vifaa vingi acheni wivu sisi tumemleta makamu mwenyekiti wa ccm km nyie mlivyomleta makamu mwenyekiti wenu said mohamed sasa wivu wa nini? au kwa sababu cc tuna wasomi nyinyi mna vilaza? someni na nyinyi halafu mnataka nchi
yaguju
 
Kansa ya ubongo hiyo kabla ya vipimo inajulikana tu!
 
subirini dozi yenu kesho...

mtaji mkuu wa ccm na watawala ndani ya serikali yake ni umaskini, shida na dhiki kuu kwa wanaowatawala. Kwa wanachalinze hilo halina haja ya kutafuta mnajimu wala mpiga ramli kutafuta jibu lake kwani umaskini, shida na dhiki nyinginezo zimezamishwa na kutamalaki ndani ya jamii hiyo!
 
hee hadi kukodi rais toka nchi jirani? wetu kasepea anga gani tena?:A S embarassed:
 
Matokeo ya jumla jimbo la Chalinze
CCM 20812
CDM 2628
CUF 473
AFP 78 na
NRA 59

CCM wameshinda vituo vyote
 
Kwi kwi kwi kwi teh teh teh. Hujamsikia nani sijui yule kwenye mada yake, amesema CCM ni hatari "mabeki wanakaba mpaka kivuli". Hapo sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…