Dr.Sheiin unazeeka vibaya

Dr.Sheiin unazeeka vibaya

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Umemuondoa Mwanasheria mkuu kwa sababu hakukubaliana na matakwa ya kuikandamiza Zanzibar ,naamini hukumfukuza nataka niamini hivyo,Kama ulimsikia Mh.Kikwete leo alisema kama sikosei kuwa anaulinda umma wa WaTanzania aka Tanganyika ni jukumu lake bila ya shaka atakuwa ameshirikiana na Mwanasheria Mkuu wa Tanganyika na akimshauri ,sasa wewe mwenzio uliomchagua mwenyewe kwa kuamini atakusaidia katika kulinda maslahi ya Zanzibar na mwanasheria huyo ameonyesha njia njema kabisa kwa mustakbali wa Zanzibar na point zake zote zipo katika kuilinda Katiba ya Zanzibar ,pia kama ulimsikia Kikwete amekubaliana na maoni ya Mwanasheria uliemuondoa pale aliposema kuwa mnayoyazungumza ni mazuri na ukifika wakati yatatokea akatoa mfano wa yeye na Thabiti Kombo ,very simple ,hili dongo lilikuwa lako ya kwamba ulikosa busara na hicho cheo cha baraza la Mapinduzi hutaishi nacho daima.

Lengo la katiba hiyo si wakulima,wafugaji sijui wanawake ,vilema au viziwi hizo ni samli tu,yamo maalum mambo hayo ndio yanayowaniwa ,Wameimba Wazenji ..Nyusi na nywele ni pambo huota na kunyolewa yapo maalumu mambo ndio yanayowaniwa....! Na ndio hayo WaTanganyika wanayoyadoea ambayo yameikaba Zanzibar,si wakulima na wakwezi !
 
Labda na yeye hajaielewa vizuri hiyo katiba. Si juzi tu wameikamilisha? Hajaisoma bado.
 
kama kuna watu waliopata kuwa marais kwa bahati duniani shein ni kiongozi wao sijuimkapa alimuibua wapi ,hakuna hata mtu aliyekuwa anamjua nasikia siku anapigiwa simu kuwa anapendekezwa ---- makamu wa rais alikuwa hajui chochote yuko kwenye mashamba yake ya karafuu huko,akamwambia houseboy wake kuwa ebanae huo utani wako kamtaniae makame sio mie nkapa kanjulia wapi mie,ukiacha sifa moja kuwa sio fisadi hana sifa yeyote ya kuwa rais
 
Sheni ameamua kuwasaliti wananchi wake...
 
yap alikuwa anapalilia vitunguu na pilipili ndo nkapa akampa dili.sasa kawageuka wapemba maskini
 
Umemuondoa Mwanasheria mkuu kwa sababu hakukubaliana na matakwa ya kuikandamiza Zanzibar ,naamini hukumfukuza nataka niamini hivyo,Kama ulimsikia Mh.Kikwete leo alisema kama sikosei kuwa anaulinda umma wa WaTanzania aka Tanganyika ni jukumu lake bila ya shaka atakuwa ameshirikiana na Mwanasheria Mkuu wa Tanganyika na akimshauri ,sasa wewe mwenzio uliomchagua mwenyewe kwa kuamini atakusaidia katika kulinda maslahi ya Zanzibar na mwanasheria huyo ameonyesha njia njema kabisa kwa mustakbali wa Zanzibar na point zake zote zipo katika kuilinda Katiba ya Zanzibar ,pia kama ulimsikia Kikwete amekubaliana na maoni ya Mwanasheria uliemuondoa pale aliposema kuwa mnayoyazungumza ni mazuri na ukifika wakati yatatokea akatoa mfano wa yeye na Thabiti Kombo ,very simple ,hili dongo lilikuwa lako ya kwamba ulikosa busara na hicho cheo cha baraza la Mapinduzi hutaishi nacho daima.

Lengo la katiba hiyo si wakulima,wafugaji sijui wanawake ,vilema au viziwi hizo ni samli tu,yamo maalum mambo hayo ndio yanayowaniwa ,Wameimba Wazenji ..Nyusi na nywele ni pambo huota na kunyolewa yapo maalumu mambo ndio yanayowaniwa....! Na ndio hayo WaTanganyika wanayoyadoea ambayo yameikaba Zanzibar,si wakulima na wakwezi !

collective responsibility ilimuondoa augustino mrema katika uwaziri wa kazi na ccm na pia miaka ya nyuma ili uondoa mzee kingunge akiwa mkuu wa mkoa wa tanga na wala siyo suala jipya naamini ha zitto kabwe,hamad rashid na kafulila
 
Mwaka 1964 wakati Tanganyika inaimeza Zanzibar mwanasheria mkuu wa Zanzibar Dourado alitimuliwa, mwaka 1984 wakati Tanganyika inataka kuimiliki Zanzibar , Rais wa Zanzibar Jumbe alifukuzwa, mwaka 1988 wakati Tanganyika ikishona koti lake waziri Kiongozi Seif Shariff Hamad alifukuzwa , mwaka 2014 wakati Tanganyika ikishona kanzu ya Muungano badala ya koti mwanasheria mkuu wa Zanzibar Othman Masoud amefukuzwa kazi ......tarakuri ......
 
As Mourinho has it,we might then be " specialists in failure".
Miaka 50 ya uhuru bado tunapigania kasungura kadogo tena kamoja tunakata tugawane watu milioni 45...?
 
Rais wa zanzibar huchaguliwa kutoka makao makuu ya tanganyika-dodoma!
 
Back
Top Bottom