Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Ilikuwa tarehe 17/03/2016.Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli alipiga simu katika moja ya vipindi vya CLOUDS TV akiwapongeza watanganzaji(Hudson Kamoga,Baby Kabaye na Samweli Sasali) wa Kipindi cha "three sixty"
Rais aliwaambiwa yeye ni shabiki wao(Clouds),na alisema angependa sana kVYOMBO VINGINE (IKIWEMO TBC)vya habari vingefauta(kuiga) mfano wao.
Rais kudhihirisha kuwa kweli yeye ni shabiki wa kweli,alimpa Mama Janeth(mke wake) awasalimie watanganzaji na Watanzania kwa ujumla na yeye alisisitiza kuwa ni shabiki mzuri wa kipindi hicho na huwa wanafurahishwa magezeti yanavyochambuliwa.
Kwa kuwa wengi wetu tuliona au kuskia tukio hili...nisingependa kusema mengi kuhusiana nalo.
Tarehe 22 march 2016 Dr Ayoub Riyoba Mkurugenzi mkuu wa shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) alikabidhiwa ofisi na aliye kuwa mkurugenzi ,Bwn Clement Mshana.
Watanzania tulio wengi Tulitegemea mabadilko Mengi na makubwa ndani ya shrika hilo..
Nadhani hata rais mwenyewe alitamani mageuzi makubwa ndio maana aliuyhibitishia Umma kuwa hata yeye huwa haangalii TBC,haijawahi tokea rais kupiga simu kwenye media hivyo Riuoba ulikuwa na cha kujifunza kwani rais ni raia no 1.
TBC ina matatizo lukuki,sina hata haja ya kuyaandika hapa kwa mapana yake,kwani ninajua wengi huwa hata hatuangalii channel hii labda wale wanaopenda "CHEREKO",AU Pindi mtu hajalipia kwa wale tunaotumia ving'amzi vya azam kwani huwa ni TBC tu huonekana lakini zaidi ya hapo aslimia kubwa hatuanglaii.
Pengine haya ni baadhi ya mambo tanayopelekea haya kutokea....
*huwa coverage yake ya vipindi ni ya kibaguzi,na huwa inaupendeleowa wazi kabisa hasa kwa serkali au chama tawala..
*picha /sauti yake hazina kiwango cha kidijitali(mfano juzi wakti wa uzinduzi wa ndege mawimbi ya sauti yalikuwa ovyo kabisa).
*Vipindi vyake huwa haviendani na wakati(not current at all hata ukilinganiaha na vyomba vingine vya kitaifa vya mataifa mengine).
Mtu ukiwa unatizama TBC unakuwa kama upo kwenye ulimwengu wa ki - analojia(kwenye nyanja zote yaani Kisiasa,kijamii,kiuchumi na hata kitamaduni)kwa mfano huwa mnatumia mda mwingi sana kuonesha vitu/maongezi yanayochosha(bore)na mda kidogo sana kwenye mambo ya msingi.
Ni kweli hii ni Television ni ya Taifa lakini je Inafanya kazi za kuwahabarisha wananchi wote ndani ya taifa hili au huwa kuna targeted group of audience ?
Kuna wakati huwa natamani kutaka kujua wapinzani wanafanya nini kupitia TBC ,lakini huwa sihabarishwi labda iwe kuna mpinzani kahukumiwa au kupelekwa mahakaman hapo itarushwa na si vinginevyo..
Lakini DR RIYOBA naomba ifike pahala mjue kuwa sisi wananchi bila kujali itikadibzetu za kivyama nk tunawaunga sana mkono nyie mnatuangusha.
Kuna mtu alishawahi kusema unaweza kuwa mzalendo kutaka kusafiri kutumia usafri wa serkali,kusoma shule/vyuo vya serkali,kutibiwa hosptali za serkali,kutazama/kuskiliza redio za serkali lakini ukitoka nje na kujadiliana na wenzio unakuta kuna taarifa nyingi tu huzijui,au hata kutopata dawa au shule kuferisha sana kuliko vya watu binafsi kwa shida iko wapi?....
Kurudia rudia vipindi vilevile kwa mfano vya kulima mpunga au hotuba ya rais mara tano au sita ndani ya wiki moja inaonesha jinsi gani msivyokuwa wabunifu ili hali kuna mambo kibao kuyarusha wanachi wakafurahia TV YAO....
LAKINI KWA SASA HAPANA RIYOBA HUKUJIFUNZA KITU KUTOKA KWENYE SIMU YA RAIS CLOUDS KWANI HUNA ULICHO BADILI!!!...