Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
....... utetezi juu ya nini !? Sisi Waislaam tumeumbwa na kukinahi, na kukinahi ni ibada kwetu. Kwahiyo usitegemee Dr. Dau akafa kwa sonono ! KabembeSheikh Ally Kombo naona unamtetea mpambanaji Dau? Teh...teh..teh..
Sheikh mimi sikuwa kwenye uislam wala ukristo nimejibanza kwenye utu,mimi nilidhani unamtetea Dau as human being,kumbe ni mambo ya 'muislam mwenzangu'! Yakhe mie huko siko asilaani........ utetezi juu ya nini !? Sisi Waislaam tumeumbwa na kukinahi, na kukinahi ni ibada kwetu. Kwahiyo usitegemee Dr. Dau akafa kwa sonono ! Kabembe
Astaghfirulahi walai,sheikh kufur hiyo,yaani watanzania milioni 50 hasiwepo hata mmoja? Kwani Dau alipatikana vipi au naye si mtanzania?Hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuifanya nssf iheshimike kama ilivyo kwa dr dau ndio maana wazir ameamua kumteua mganda kushika wadhifa huo.
Viwanda tulikuwa navyo vingi tu ila kwa kipindi hicho tukalazimika kuvifunga kwa kuwa masoko ya nje walitaka korosho zisizobanguliwa.Kwa kweli nimesikitika kuwa korosho tunauza nje kwa just 1$, wakati ikibanguliwa inakuwa 7$, na ukizingatia kiwanda hakicost hata 100Billion,
Ni aibu kwa taifa kwa hili, kuexport raw materials and labor! Hebu Magufuli fanyia kazi hili ndani ya 1yr
..Presentation safi.
..Kiswahili safi.
..English safi.
..Ramadhani Kitwana Dau ktk ubora wake!!
Astaghfirulahi walai,sheikh kufur hiyo,yaani watanzania milioni 50 hasiwepo hata mmoja? Kwani Dau alipatikana vipi au naye si mtanzania?
Huyu ndio magori anataka kumngoa?/
But there is nothing special here... Labda kanzu na baraghashia.
Mtakufa kwa roho mbayaudhaifu wake ni pale anapoweka nyumba ya imani yake katika ofisi ya umma huku akujua kabisa kuwa ni kosa, je na wale wasiokuwa wa imani yake nao aliwatengenea pa kuabudia hapo ofisini kama yeye alivyojifanyia ka msjd kadgo?