Dr. Pollyn Msoffe kugombea udiwani kata ya Mbezi

Dr. Pollyn Msoffe kugombea udiwani kata ya Mbezi

wokitoki

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
53
Reaction score
9
Habari wana jf,
Habari za uhakika kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba Dr Pollyn Msoffe amejipanga kugombea udiwani kwa tiketi ya chadema.

Harakati na mipango ya kufanikisha hili inafanyika ambapo vikao vya chin chin na wenyeviti akiwemo Mr Mallya mwenyekiti wa mtaa wa mshikamano ) kazi kwenu wana kata ya mbezi.
 
Habari wana jf,
Habari za uhakika kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba Dr Pollyn Msoffe amejipanga kugombea udiwani kwa tiketi ya chadema. Harakati na mipango ya kufanikisha hili inafanyika ambapo vikao vya chin chin na wenyeviti akiwemo Mr Mallya mwenyekiti wa mtaa wa mshikamano ) kazi kwenu wana kata ya mbezi.
Vipi aliyekuepo hagombei tena? Kwa nini asiende kwenye kata nyingine kwa sababu hiyo kata ni ya chaxema na tayari ina diwani wa chadema kati ya mitaa 8 chadema ilichukua 5 angepeleka hizo nguvu kwenye kata zingine amwachie tu Mwalim
 
inawezekana ingawa mimi kama mdau wa hii kata sijamsikia
 
Ni nani huyo kamanda maana unamrusha humu asijekuwa wa hovyo tu. Hatumjui tupe wajihi wake
 
Back
Top Bottom