Dr. Mwakyembe umekoswa, Hii mara ya pili; Sasa waachie mambo yao!


wabongo bana lini kabla ya kwenda india alisema atatoa siri au ni mavuvuzela ya kibongo yaliyosema?
 
kama dada yule wa mcity ni RIP,dr mbio zianze,akiendkeza tamaa wanamwngzea doz..atakongoroka mpk meno...
Akichelewa kutoka kwa tamaa zake asubiri kuvamiwa na majambazi wa kumtoa Ro***
 
wewe ndo muhusika nini??



mahesabu hayajakosewa na hayakukosewa toka mwanzo....huyu file lake lilifungwa tangu mwaka jana August.....hakuna anayemfikilia tena....na hakuna atakachosema wala kutoa siri ...
 
hofu ni tunda la shetani na mashaka ni ua la pepo
ameshaingia vitani hapaswi kurudi nyuma
kwa muda ulobakia awataje hadharani tena asiitishe waandishi wa habari watammaliza kabla hajaitisha
aandike waraka ajirecord atume ktk vituo vya radio na tv na magazeti.
mpambanaji hupaswi kuogopa kifo hata akiamua kumwaga manyanga walishamharibu
nakulilia sana mwl wangu wa criminal law nashangaa kwann hupractice the reality.
 
jamani mungu amsamehe kwa lipi baya alilofanya. ningekuelewa ungesema mungu awasamehe wale waliomlisha sumu dr mwakyembe.jaribu kuwa makini unapoandika kitu

Unalalanae? hadi useme yeye dhambi hana. Dhambi yake inaweza kuwa ni ile kuficha full report watanzania wako wanahangaika. Labda wangejua JK asingekuwepo saaa hizi na Mafisadi wengine we vipi?
 
Ni ushauri mzuri lakini hapo kwenye red umekosea. Mwakyembe hajamkosea Mungu kiasi kwamba asitahili kutubu dhambi. Wanaostahili kutubu ni wale wanaomfanyia ubaya!

Ni vema Mwakyembe aachane na CCM na kuingia Chadema. Tena afanye haraka kwa kuwa wamemkosa safari mbili. sasa safari ya tatu watammaliza!
 
Wakuu samahani mwenye ile picha inayomuonyesha Dr Mwakyembe wakati Mh Samuel Sitta alipomtembelea India atuwekee tafadhali
 
Alichonikera mwakyembe, ni kuulinda ufisadi kwa kusema hawakutaka kuyasema maovu yote ya serikali kwenye ripoti ya richmond kwa ajili ya kuilinda na aibu. Sasa mpiganaji gani huyo kama si mnafiki. Inakula kwake sasa!
 
Wakuu samahani mwenye ile picha inayomuonyesha Dr Mwakyembe wakati Mh Samuel Sitta alipomtembelea India atuwekee tafadhali kuna mtu haamini siasa za bongo zilivyo chafu plz wadau saidieni hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…