Mungu amsamehe kwa unafiki wake, ametuchosha na habari ya kusema eti atapasua jipu mara ananywea, kwa sasa huyu jamaa haangaliki, kucha zinadondoka, ngozi inatuna, nywele na vinyweleo vya sehemu zote vinadondoka, kazi kutupa excitement za kutoa siri nakutokutoa siri.
Mimi niliposhindwa kumuelewa ni pale aliposema akitoka India atamwago yote peupe, mara tena eti namwachia mungu, mara ntasema, mara angoje akipone huyu haponi hii sumu waliyoiona baada ya kutobolewa mifupa ni vigumu kutabiri kama kweli imetoka yote maana hata India wamekubali kwamba ilikua kiboko.
PIli nasikia hata huyo dada aliyemshitua kwenye hiyo karamu hapo `mlimani city nasikia ameshauawa. Kwa hiyo huyu bwana hayuko salama kabisa ni ubora tu atuambie anachokijua maana wameshamuwahi, yeye lazima akubali kwamba ni adui wao na hatakuwa rafiki yao. asimame na watanzania na kuomba msamaha pale ambapo alikua tayari kuwasaliiti kwa ajili ya cheo cha unaibu waziri na kuripoti kwa mtu ambaye ni junior kwake ki elimu, experience, ezposure, itikadi na hata utendaji wa kazi.
Watoto wake wadogo anawa risk kwa tamaa za kipumbavu, na kujikomba. Linga uli nyambala bho bhapabi bhako, bhika sosya pa bwasi tusimanye syosya sije pa bwelu, tutakuheshimu, tukujua kwa uhalisia wako,
wabongo bana lini kabla ya kwenda india alisema atatoa siri au ni mavuvuzela ya kibongo yaliyosema?