Nimemsikia Mwakyembe akisema serikali ipo kwenye mpango wa kuunda tume ya maadili ya mahakama kwa kila wilaya ambayo itakuwa Chini ya mkuu wilaya,
hajui kwamba mkuu wilaya au mkuu wa mkoa ni kiongozi wa serikali?
Je akina Makonda,Gambo kama hawajaridhika na hukumu walivyotegemea hawatawasumbua mahakimu wetu, Mwakyembe achana na mpango huu Mara moja.