mbavuchanga
Member
- Mar 19, 2015
- 70
- 7
Dr.Makongolo Mahanga kuomba no Chadema baada yakupgwa chini jimbon kwake baada ya kuongea na ITV eti hajawai kupandishwa cheo kutoka unaibu wazir hdi uwazir baada yaku2mikia nafas io kwa miakd 10 akidai wapo waliopandshwa wakiwa ndan ya miaka2 tu eti anahamia chadema huko ndo mahal salama atakapopewa uwaziri endapo edwad lowasa akipta uraisi.
Chanzo itv habar
Chanzo itv habar