Dr. Magufuli sio Rais ila ni baba yetu Watanzania

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,615
12,274
Kilasiku inayopita mbele yetu matendo ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania yanafanya kung'a kulikojuwa ama nyota ya asubuhi. Amekuwa Rais mwenye upendo wa dhati kwa watanzania na kuwafanya watanzania wote kuwa kama ndugu zake alio zaliwa nao tumbo moja, ukimsikiliza maneno yake na matendo yake utakubaliana name huyu sio rais ila ni baba yetu.

Mh Magufuli amehakikisha kila mahali anagusa na cake ya taifa inawafikia watanzania wote masikini. Niukweli usio pingika Mungu alimleta Magufuli kwetu ila kujibu kilio cha muda mrefu cha watanzani. unyonge wetu, upweke wetu na madhuluma mengi tulitendewa ktk vipindi vilivyopita. Unapoenda mashuleni nakukuta watoto wanasoma baba yao Magufuli anahusika, ukienda vyuoni vijana sikuizi bum linaingia lote bila kukatwa hata sent baba yao Magufuli anahusika, nenda ma hosp watu wanapata uduma bora baba yao pia anahusika, nenda kituo cha polisi, ofisi ya serikali urasimu umeota mbawa baba yao watanzania anawatetea.

Mh Magufuli simtazami kama Rais ila baba wa taifa la Tanzania. marekani ina marais zaid ya arobai na kitu ila kati yao wachache wamepata fursa yakuitwa baba, Tanzania baada ya hayati baba wa taifa Mwl Nyerere Magufuli ameibuka ktk hali yakushangaza wengi, ni mzalendo wa kweli alie na upendo wa dhati kwa taifa hili binafsi nina amini chini ya Magufuli taifa hili litasimama nabaada yake atamkabidhi kijiti mtu mzuri kulisongesha taifa mbele.
Mh Magufuli wewe ni baba yetu wala sio Rais watu wa taifa hili tunakuombe sana Mungu akupe kufananya mambo makubwa ndani na nje ya mipaka. Mungu akulinde kila uwendapo na Mama Janet. amen
 
Hebu kamuulize mama yako kama kweli Magu ni baba yako! Unamkana baba yako mchana kweupe???
 
Nakubaliana nawe kuhusu JPM. Ila kumwita baba mmhh. Baba ni mmoja tu, JKN. Aliyelizaa taifa hili (kukomboa) kutoka wakoloni. JPM mtafutie cheo kingine. Tuna baba wa taifa mmoja tu nae ni JKN.
 
Yeye ni raisi wetu si baba yetu. Huenda ni mshua wako wa kibailojia huyo unaye alidanganywa na mazer'ko. Kachekin vina7
 
Watu wengine bwana wamejaa unafiki tu wanapenda kumpa MTU sifa zisizo Na maana kama Magu ni baba yako Na yule aliyemwoa mama yako unamwita nani?
 
Labda baba kwa kwenu tanganyika huyo ya zanzibar hayamuhusu.
 
Mwisho wa siku ukipiga hesabu ya muda uliopoteza jumlisha pamoja na muda uliotumia kuandika huu ujinga!!
 
Back
Top Bottom