bruno twemanye
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 801
- 388
nmekubali ccm haijakurupuka kumtangaza mgombea uraia kwa tiketi ya chama hicho,,,takiliban wk nzima jamaa yupo mikoan anachapa kaz bla kuongelea kampein ila anapokea watu wengi na wenye umakin kimtazamo tofaut na vyama vingine hukusanya umati wenye vjana wengi wenye sura za mahitaji ya kitu flan,,na ukikuta wazee kimtazamo wanadalili zakupotea,,,ahasante ccm kutupa mtu anayetangaza tanzania kwanza vyama baadae.Mungu akubariki DR MAGUFULI

Nyie hata mgeletewa wasira au yule mkulima wa kigoma mgemsifia tuu!!!! Hapo ndo huwa nachoka
Hata nyie angehamia kwenu Chenge na Rostam mgemsifia tu
Nyie mngeletewa hata Lowassa mngemsifia tu. Hapo ndio nachokaNyie hata mgeletewa wasira au yule mkulima wa kigoma mgemsifia tuu!!!! Hapo ndo huwa nachoka
Tuache unafiq ukawa mmebugi mwaka huu
Hahahaha!!!Nyie hata mgeletewa wasira au yule mkulima wa kigoma mgemsifia tuu!!!! Hapo ndo huwa nachoka
Hao maelfu ya vijana wenye mahitaji ya kitu fulani ndio matokeo ya maisha bora kwa kila mtanzania ccm imewapiga wananchi kwa umasikini na ufisadi wamelegezwa kila kitengo hizo ndio products za miaka 50 ya ccm madarakani poor you alafu hhata hamuoni haya kuja tena kutaka kura za wagonjwa mlio wazalisha nyie.nmekubali ccm haijakurupuka kumtangaza mgombea uraia kwa tiketi ya chama hicho,,,takiliban wk nzima jamaa yupo mikoan anachapa kaz bla kuongelea kampein ila anapokea watu wengi na wenye umakin kimtazamo tofaut na vyama vingine hukusanya umati wenye vjana wengi wenye sura za mahitaji ya kitu flan,,na ukikuta wazee kimtazamo wanadalili zakupotea,,,ahasante ccm kutupa mtu anayetangaza tanzania kwanza vyama baadae.Mungu akubariki DR MAGUFULI