ndesamburo kwek
Senior Member
- Aug 1, 2011
- 136
- 21
Kwa raha isiyo kifani nimemfagilia dr magufuli kwa kusema CDM HOYEEE!mbele ya rais na wananchi kujibu kwa furaha HOYEEE!
....... ..... akaisifia CDM ni moja ya mawaziri ambaye yuko tofauti na baadhi ya viongozi wengine kama Stephen Wassira..............
ni kosa kusema ccm oyeeeee Arusha - MAGUFULIKwa raha isiyo kifani nimemfagilia dr magufuli kwa kusema CDM HOYEEE!mbele ya rais na wananchi kujibu kwa furaha HOYEEE!
ni kosa kusema ccm oyeeeee Arusha - MAGUFULI
Napita tu
Baada ya blabla za kumsifia dhaifu na ccm hakuna aliyeshangilia!Akageuka na kusema CDM HOYEE!Sijui ccm watamwita DOM?!
Arusha mna ushabiki wa kitoto Star tv saa 2 umeonyesha watu wanashangilia CCM OYEE n Diamond mliyemkataa mbona katumbuiza
Km kweli hamuitaki CCM msingeupokea ufunguo w Jiji lenu mngemzomea na aliyeutoa ba aliyeupokea
Kuja kuelezea JF hatukuwepo ila tumeona