Dr Kikwete vs Dr Slaa

JK katokelezea cheki alivyopendeza yaani presentable as a president.

CCM OYEEEEEEEEEEEEEEE
 
cv ya kikwete ipo bora kuliko slaa,jeshin hadi degree 2, uwaziri kwa wizara mbalimbali .ujuzi wa mambo ya kimataifa na kitaifa sio slaa kutoka kwenye chet na phd ya mwaka mmoja
 
cv ya kikwete ipo bora kuliko slaa,jeshin hadi degree 2, uwaziri kwa wizara mbalimbali .ujuzi wa mambo ya kimataifa na kitaifa sio slaa kutoka kwenye chet na phd ya mwaka mmoja

Ohoo degree 2 zipi hizo mkuu
 
Sasa si atumie hayo madegree kujenga nchi,wabongo bana mnasifia ujinga,ss hatuangalii vyeti tunaangalia uwezo,sasa hizo degree zake zimeisaidia nini nchi hii.
 
Nothing so conclusively proves a man's ability to lead others as what he does from day to day to lead himself.
 
Nafikiri ingwkuw nzuri ungesema Dr Slaa vs Lt. Co Kikwete
 
Ukitaka kujua nani zaidi? waambie wakitoka hapo kuna mdahalo...Kuna mtu jicho litamtoka kama ngumi!
 
Hata lipumba alishawahi kumwambia slaa asijilinganishe naye maana yeye ni mt kilimanjaro na slaa ni kichuguu sasa kwa jk sindio balaa kabisaaaa,

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…