Dr Kigwangalla: On the contrary MIMI SITAKI LISU APOTEE

Dr Kigwangalla: On the contrary MIMI SITAKI LISU APOTEE

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,528
Dr Kigwangalla akijibu hoja ya Peter Henry kwamba CCM inamtaka Mbowe Kwa sababu Inammudu, amesema " on the contrary MIMI SITAKI LISU APOTEE"

Majadiliano Ukurasani X
 
Hivi Kigwangalla ni mtu credible kweli wa kurely naye? Mbali na kujadili sisi kwa sisi, maoni toka nje yawe watu wenye credibility
Tukifuata ushauri wa Yeriko Nyerere huyo Tundu Lisu hatuwezi kumjadili hapa bwashee 😄

Kila mmoja apewe Heshima yake
 
kigwangala anatakiwa aseme.mbowe anarubunika lakini lisu harubuniki.
 
Dr Kigwangalla akijibu hoja ya Peter Henry kwamba CCM inamtaka Mbowe Kwa sababu Inammudu, amesema " on the contrary MIMI SITAKI LISU APOTEE"

Majadiliano Ukurasani X
Hajawahi kuwa na akili bora aliondoka kwenye tiba maana angemaliza wengi
 
Back
Top Bottom