Mpambano wa Dr Kigwa na Bashe katika kinyanganyiro cha uwakilishi wa wilaya ya Nzega kwenye halmashauri kuu ya CCM umechukua sura mpya jioni hii baada ya Dr Kigwangalla kumtishia kwa bastola bwana Bashe ili asirudishe fomu.
Habari ndo hiyo, more to come.
wanasiasa wa CCM Tabora kwa matumizi ya bastola mnatisha.
sina haja na source tunakuaminia B, ila na huyo mwarabu/Msomali Bashe hakuwa na kiguu cha kuku!?Mpambano wa Dr Kigwa na Bashe katika kinyanganyiro cha uwakilishi wa wilaya ya Nzega kwenye halmashauri kuu ya CCM umechukua sura mpya jioni hii baada ya Dr Kigwangalla kumtishia kwa bastola bwana Bashe ili asirudishe fomu.
Habari ndo hiyo, more to come.
wanasiasa wa CCM Tabora kwa matumizi ya bastola mnatisha.
Mkuu unagongea wapi vyombo?? B. sijua atakua leo Nzega mie nlishaanza kitambo hapa Break PointWe mutu uko wapi mida hii? Acha migamba iuane njoo pande hii tuchangie pato la sirkali dhaifu kwa biya nyingi.
Hivi huko Tabora na bastola inakuwaje?
Hizi siasa zinatupeleka kubaya sana sasa
Mpambano wa Dr Kigwa na Bashe katika kinyanganyiro cha uwakilishi wa wilaya ya Nzega kwenye halmashauri kuu ya CCM umechukua sura mpya jioni hii baada ya Dr Kigwangalla kumtishia kwa bastola bwana Bashe ili asirudishe fomu.
Habari ndo hiyo, more to come.
wanasiasa wa CCM Tabora kwa matumizi ya bastola mnatisha.
Tabora kuna cultures za kiarabu, kisomali, na za kijihadi. Bunduki, bastola visu & majambia huko ni kama any 'home utensile, i.e., sahani, kiti, etc.'!