Dr. JPMagufuli amkuna Rais Paul Kagame

Dopas

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2010
Posts
1,151
Reaction score
392
Rais Paul Kagame amefurahishwa na uamuzi wa Rais wetu JPMagufuli wa kufuta safari za nje za viongozi wa serikali zisizo na tija kwa Taifa.
Amesema shughuli hizo zitafanywa na mabalozi wanaowakilisha nchi hiyo.

Source kipindi cha Nipashe cha Radio One FM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…