Waziri wa Mazingira Dr Jafo amesema utabiri wa hali ya hewa unaonyesha maeneo mengi ya nchi yatapata mvua za msimu chini ya 50%
Dr Jafo amesema hii imesababishwa na Jamii kushindwa kulinda Vyanzo vya Maji na uhifadhi wa mazingira
Wananchi wanashauriwa kuchukua tahadhari dhidi ya Mabadiliko ya Tabia nchi
Source ITV Habari