Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,777
Navyojua ni kuwa,mtumishi wa umma akifukuzwa kazi,basi kuna haki zake ambazo huzipoteza.
Je,Dr.Hoseah,kama mtumishi wa umma,nae hatolipwa baadhi ya stahiki zake?
Kama atalipwa, je,itakuwa ni sahihi kuamini kuwa katimuliwa?
HahahahaaAlishajilipa Siku Nyingi Tu.
Navyojua ni kuwa,mtumishi wa umma akifukuzwa kazi,basi kuna haki zake aibu azo huzipoteza.
Je,Dr.Hoseah,kama mtumishi wa umma,nae hatolipwa baadhi ya stahiki zake?
Kama atalipwa, je,itakuwa ni sahihi kuamini kuwa katimuliwa?
Nini hasa maana ya kutengua uteuzi wa mtu?
Huyu hajafukuzwa kazi...
Uteuzi wake umetenguliwa...
Ivyo haki zake kama muajiriwa zipo pale pale..
Ila labda wataalam watujuze je anaweza kupangiwa kazi nyingine??
Maana kwa mfano Hosea ana 57yrs ivyo alikuwa bado ana miaka 3 atimize 60yrs ya umri wa kustaafu wa lazima.
Khaa!! Kazi ya kuomba ndiyo unaweza kufukuzwa na ukapewa sababu za kufukuzwa na unaweza kupinga, lakini kazi ya kuteuliwa huwa uteuzi unatenguliwa wakati mwingine bila hata sababu na hauwezi kupingaNavyojua ni kuwa,mtumishi wa umma akifukuzwa kazi,basi kuna haki zake ambazo huzipoteza.
Je,Dr.Hoseah,kama mtumishi wa umma,nae hatolipwa baadhi ya stahiki zake?
Kama atalipwa, je,itakuwa ni sahihi kuamini kuwa katimuliwa?
Nini hasa maana ya kutengua uteuzi wa mtu?
Hahaaaa haahaaaaaAtapewa ofisi ina meza na kiti kimoja na hatapewa job description ya kazi hiyo,atakuwa anaingia adubuhi na kutoka jioni na wala hakuna hata mtu atayekuwa anaenda ofcn kwake mpaka aache kazi mwenyewe
uwe unasoma kwa umakini na kisha utafakari. Dr hoseah hajafukuzwa kazi, ila uteuzi wake umetenguliwa. Na hivyo bado ni mtumishi wa serikali kama kawaida
Navyojua ni kuwa,mtumishi wa umma akifukuzwa kazi,basi kuna haki zake ambazo huzipoteza.
Je,Dr.Hoseah,kama mtumishi wa umma,nae hatolipwa baadhi ya stahiki zake?
Kama atalipwa, je,itakuwa ni sahihi kuamini kuwa katimuliwa?
Nini hasa maana ya kutengua uteuzi wa mtu?
Hajafukuzwa kazi, ni uteuzi tu uliotenguliwa
Teuzi ngapi zimetenguliwa na wahusika hawakupelekwa mahakamani? Kwa hili la Hosea tungoje tuone kama kuna hatua za ziada zitakazochukuliwa na JPJM. Tuache ku-speculate.jamani nyie vipi?.. Dr. Hosea ametenguliwa kwa kashfa hivyo kitachofuata ni mahakamani...huko ndio itajulikana kama atapata haki zake au laa!