Huyu jamaa ni nouma aiseee, ni motivational speaker wa ukweli. Asikudanganye mtu kama wewe ni mfuatiliaji wa hawa motivational speakers jitahidi umsikilize huyu nae, hapa Bongo yupo ndugu yetu Tonny Luvanda, aige toka kwa huyu jamaa pia.
Kama kusoma vitabu tunakua wazito basi tujitahidi kusikiliza wengine wanatufundisha nini, hahahhahaa anasema Winners win, Losers lose....... You owe yourself.... put yourself into punishment. Usimrushie mtu mwingine matatizo yako. mojawapo ya video zake nii hii hapa