Dr. Diallo kidume mwanza

Jarateng

Senior Member
Joined
May 4, 2012
Posts
105
Reaction score
47
Aliyekuwa M/Kiti wa CCM mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, amebwagwa na Dr. Anthony Diallo.
 
Vipi kuhusu wajumbe waliopata ajali? Wamepiga kura wakiwa wodini!?
 
Tunashukuru kwa taarifa,ila Dialo sio Dr umesahau kuwa akwenda kurinew kama wakina Nchimbi na Kamala?
 
Wanamtandao wa Mabina hawakujua Diallo kuwa ni kamanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…