Oya Gen Z nimesikia mshua anataka kupeperusha bendera ya Kenya 2027 amtoe kitini Kasongo/ Zakayo. Ni kweli wanetu?
Je mshua ataweza mafyadefyade ya wanasiasa,angekaa zake akachili akapiga mapensheni yake,huko kwenye masiasa Sio kukariri vifungu vya sheria na rejea za kimahakama achili tu mshua
Huko asifikiri anaendesha bali ataendeshwa na machizi yenye malengo Yao atatoka kwenye mstari mtaanza kuona Bora Kasongo.
CJ Maraga akae akutulie aende kwa church asali ale pensheni,hizi siasa ya Kenya hakiwezi kabisa ,Kohanatya😆😆