Dr. Bilal ana kasoro gani?

Dr. Bilal ana kasoro gani?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Nampenda sana Dr. Bilal tangu alipokuwa katibu wa Wizara ya elimu ya juu wakati Mkapa akiwa ndo Waziri wake. Binafsi alikuwa na roho ya kupenda kusaidia wanafunzi kwa muda mfupi kadri alivyoweza. LAKINI kigogo huyu amekutwa na makuu mengi mazito sana ndani ya CCM yake.

Zito la kwanza ilikuwa pale jina lake lilipokatwa Dodoma hata baada alipokuwa ameshinda kwenye kura za maoni za kuwania nafasi ya urais Zanzibar kwa kuwashinda wenzake wote akiwemo Mh. Amani Karume (Rais mstaafu), lakini jina lake likatupwa na kuteuliwa la Karume.

Zito la pili ni mwaka huu tena jina lake kutupiliwa mbali na CCM bila ya kupewa fursa ya kusikilizwa. Kwani mzee huyu ana tatizo gani la uaminifu kwa taifa?
 
Mi huwa sijui namuonaje, hanivutii kuwa rais wangu bora hata Pinda
 
Dr.Bilali anaonekana ana msimamo tofauti kidogo na CCM juu ya Zanzibar kuwa nchi huru.Na aliondolewa Zanzibar kuwa kuja makamu wa Rais kupuka mpasuko zanzibar
 
Ni Muungwana sana ndio maana yuko kimya.

Yule mmasai asiejua hata kusoma vizuri alikua waziri mkuu kwa nukta tu lakini anajiona kua ana nguvu wakati hata kutembea hawezi
 
Nampenda sana Dr. Bilal tangu alipokuwa katibu wa Wizara ya elimu ya juu wakati Mkapa akiwa ndo Waziri wake. Binafsi alikuwa na roho ya kupenda kusaidia wanafunzi kwa muda mfupi kadri alivyoweza. LAKINI kigogo huyu amekutwa na makuu mengi mazito sana ndani ya CCM yake.

Zito la kwanza ilikuwa pale jina lake lilipokatwa Dodoma hata baada alipokuwa ameshinda kwenye kura za maoni za kuwania nafasi ya urais Zanzibar kwa kuwashinda wenzake wote akiwemo Mh. Amani Karume (Rais mstaafu), lakini jina lake likatupwa na kuteuliwa la Karume.

Zito la pili ni mwaka huu tena jina lake kutupiliwa mbali na CCM bila ya kupewa fursa ya kusikilizwa. Kwani mzee huyu ana tatizo gani la uaminifu kwa taifa?

Kwa kweli Dr Bilal anamsimmo tofauti na ccm, sijui kwa nini hakusoma alama za nyakati.Kwanza aliotuliwa kuwa mgomba menza,aikuwa amechukuafomu ya urais wa Zanzibar. Hkujua kuwa anayependekezwa na kuchaguliwa kuwa mgombea hashiniizwi kumteua awe mgombea mwenza?
 
Hana maadili. Hata hakuwa kati ya wagombea watano wenye maadili hiyo Kamati ya maaaadili ikakata jina lake!! Hata Pinda, hata Jaji mkuu mstaafu kwa kweli Kamati ya maadili iliona kuwa hawana maadili hivyo hawastahili hata kuingia tano bora! Wakakata majina yao!!!
 
Back
Top Bottom