Tetesi: Dr Bashiru Makamu Mwenyekiti Bara

Nimemuona wa kwanza hapo tayari...

Ngoja waje akina Luca, Choice na wafananao...pengine watakuwa na neno kuhusu Sukuma gang!

Mkuu, kweni huyu Bashiru si yule alikuwa Katibu Mkuu CCM ambaye alisema cheo kile cha KM (CCM) ni kikubwa sana kwake na hatapenda kupewa cheo kingine? AU yupi huyo! Ngoja tuone
 
Mkuu, kweni huyu Bashiru si yule alikuwa Katibu Mkuu CCM ambaye alisema cheo kile cha KM (CCM) ni kikubwa sana kwake na hatapenda kupewa cheo kingine? AU yupi huyo! Ngoja tuone
Ni hiyo huyo ila Kabla ya kuwa hapo Bashiru alikua CUF na mkufunzi UDSM.Pia alikua mchambuzi mzuri wa siasa za Tanzania

Magu akambeba hivyo hivyo na kumpa cheo watu hawakuweza kuhoji sababu aliendesha chama kwa kauli ya ndio mzee
 
OK, kumbe ndio yeye! Nadhani hawezi tena kukubali; maana namuona kama mtu makini ambaye hapendi kutwezwa, lakini lolote linaweza kutokea maana Mwanasiasa kinyonga.
 
Ngongo kwasasa Harare Ngongo unanikumbusha mambo ya Mzee Tupatupa wa Lumumba.
 
Mimi naona Ummy Mwalimu ni waziri Mkuu ajaye. Na atakuwa waziri Mkuu wa kwanza mwanamke Tz.
Nikukumbushe tu kwamba mwa 2017. JPM Aliwahi kumwonya Ummy Mwalimu kuhusu kusagia Kuguni Doroth Gwajima alipofichua maovu wa wizara ya Afya.
Baadaye Ummy alingolewa wizara ya Afya na Doroth Gwajima Akapewa wizara hiyo.
Ummy mitandao ya kisiasa na kifisadi imemwangusha. JPM alimwonya ili abadilike. Sasa amekutana na Chura Kiziwi!
 
Hapo raia mbili l
azima ziingie ktk hiyo nafasi (Mama wa Tanga & Katibu mkuu mstaafishwa)
 
Msalimie Mnanangwa.
 
OK, kumbe ndio yeye! Nadhani hawezi tena kukubali; maana namuona kama mtu makini ambaye hapendi kutwezwa, lakini lolote linaweza kutokea maana Mwanasiasa kinyonga.
Akiteuliwa atakubali ila hapo kwenye kuteuliwa ndio pagumu mazingira sio rafiki kwake,Mama atasusiwa Chama.
 
Anatakiwa kumvusha mama mengine baadae.
 
JF kwa data za chini ya kapeti, kiboko!.
P
Kwa chini ya capeti sawa ila mdundo wa madam na Dr hauchezeki vinginevyo 1 akubali kuwa ndiyooo mzee na ndyo maana hata ule mdundo wa kijana wa A town ulidum kwa mda ngoma ikabaasiti... huo mdundo Akitaka mama aucheze vzr amrudishe yule mwendapole, then amuachie pass winga wa A town, halafu dr awe hapo kulia ampe pro mrejeshwa, aweke pamba masikioni kama miez 6 nadhani hapo ndip ntakuwa Ameunda njano fc ila hii ya dk za jiooooooon itakuwa kama ya nyekundu DC....
 
Unajua ile nafasi wa katibu mkuu kiongozi uteuliwa watu wa aina gani? Ingawa akukaa muda mrefu.

Kijuu juu unaweza kusema kwamba makuzi yake akulelewa, lakini behind the scene akawa ametumika sana hadi huko unaposema alipokuwepo KAFU

Ushangai mtu mgeni anawezaje kuzitambua mali za chama kwa muda mfupi? Hii alikuwa mwenyekiti wa kamati wa kufuatilia mali za chama.

Usisahau ccm na Tysso(sijakosea hapa) fungua code ni baba na mama mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…