Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,971
- 4,889
Ccm wanajuana hukaa mezani nakumaliza tofauti zao bashiru kama tetesi Huenda akavaa viatu vya kinana maana mama anajuwa kundi la vijana wa mjini limemkalia kooni sasa ameamua aende na kundi AMBALO alifanya nalo kazi tangu akiwa makamu wa raisi , hili kundi kwake NI sahihi hata kundi lile alilolimwaga lilimtisha wakati anaanza safari yake ya ukuu wa nchi , na kumpa maneno ya uongo kuhusu kundi Hilo la sukuma gang ikapelekea kutoliamini ! Amekuja kushituka sasa hivi kuwa alifanya makosa makubwa na hata kwa kasimu majaliwa aliambiwa NI threat kwake kumbe hamna , kwa sasa ameshituka amejuwa Sura zao kinana na kundi lake ,Nikikumbuka zile picha za mwanzo mwanzo baada ya Samia kuapishwa kuwa Rais kuna moja Kakurwa alikuwa anamuangalia kwa woga Rais na kuna stori nyuma yake kuwa yeye ndiye alikuwa kinara kupinga asiapishwe, na hii habari kama ni kweli ndiyo uthibisho wa ile kauli kuwa kwenye siasa hakuna adui wa kudumu, bali kuna malengo ya kudumu na malengo ya CCM ni kuendelea kushika dola.
Hakuna kukulia chamani na hayupo mwana ccm wakumunyooshea vidole bashiru WOTE wameoza kupitia Mali za chama, waangalie wakina bulembo na kundi lake la jk jina la bashiru NI threat kwao.Kaka nipo hapa,sioni Bashiru akiwa makamu kwa sababu zifuatazo.
1.Makuzi yake ndani ya Chama
Bashiru hajakulia chamani aliokotwa tu pale UD akapachikwa na JPM.Kwakua hakukua na uhuru ilibidi wakubali.
2.Kukubalika kwa Bashiru na Samia pamoja na wenyeviti CCM mikoa.
Kutokana na hali ya Chama sasa Samia inabidi apendekeze majina ya watu ambao watapigiwa kura na kamati kuu NEC wale 25.
Hii itamfanya aweze kufanya kazi na watu na tawala za mikoa za kichama.
Bashiru ataleta masuko mkubwa sana kwa Chama.
Lasivyo Chama kitapata shida,Wapo wazee wengi wanao kubalika kichama na heshima yao ni kubwa.Kuna Olesendeka,Anton Dialo,Mwakyembe,Geogre Mkuchika na wengine wengi
Hiyo ni point kubwa 🙌👍Akifanya hivyo kwa kupanga safu yake kichama ataangukia pabaya.
Anachotafuta samia ni kuungwa mkono ndani ya Chama na watu wenye nguvu
Binafsi huwa sioni kazi ya Ridhiwani Kikwete katika nafasi zake alizoteuliwa.Karata aliyoicheza mama ni kumpandisha Ridhiwani baada ya kuwafurusha January na Nape ,Hapo amepata Kinga ya Mzee kikwete.Nice move kwa Mama.
Sasa kuungwa mkono kichama anatakiwa awapate hawa wenyeviti wa mikoa wa CCM.
Hawa Ndio wanatoa picha ya Nani awe Makamu,Kama hakubaliki na hawa mama atafanya kazi yake kuwa Ngumu sana,
Kumbuka tunaelekea uchaguzi serikali za Mitaa Hapo November.
Kabisa ! 🙌🙏Ccm wanajuana hukaa mezani nakumaliza tofauti zao bashiru kama tetesi Huenda akavaa viatu vya kinana maana mama anajuwa kundi la vijana wa mjini limemkalia kooni sasa ameamua aende na kundi AMBALO alifanya nalo kazi tangu akiwa makamu wa raisi , hili kundi kwake NI sahihi hata kundi lile alilolimwaga lilimtisha wakati anaanza safari yake ya ukuu wa nchi , na kumpa maneno ya uongo kuhusu kundi Hilo la sukuma gang ikapelekea kutoliamini ! Amekuja kushituka sasa hivi kuwa alifanya makosa makubwa na hata kwa kasimu majaliwa aliambiwa NI threat kwake kumbe hamna , kwa sasa ameshituka amejuwa Sura zao kinana na kundi lake ,
Na mama hataki ccm ya makundi alishakataa wao wanatengeneza makundi tena kwa kutoa Hadi r..ho za watu ,NI hatari Sana kundi Hilo kwa ustawi wa taifa letu.
Kama hii itakua ni kweli basi tunaishi kpnd ambacho siasa kweli imefanywa Tanzania, what a great time to be aliveHeshima sana wanajamvi,
Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Msaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.
Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.
Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.
Ngongo kwasasa Harare.
Hivi Bashiru ana ushawishi upi Kanda ya Ziwa? Yaani ni bora akateuliwa Msukuma kuliko BashiruHeshima sana wanajamvi,
Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Msaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.
Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.
Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.
Ngongo kwasasa Harare.
Ummí ndo makamu wa mwenyekiti ccm Tanzania Bara chukua kutoka kwangu
ChangamshiRamli...
THUBUUUTUUU!Kwa mauzauza anayotufanyia huyu mama yetu.Hata akiwaingiza sukuma gang,msoga gang a na kizimkazi gang wote lakini 2025 lazima tumpige chini
We are learning from a master 🤣🤣JF kwa data za chini ya kapeti, kiboko!.
P
Sasa rasmi ligi ya Boyz2men na Iron lady bado kipyenga tu.Heshima sana wanajamvi,