Dr bashiru amjibu lowassa kiume

haeleweki kabisa.Hao wezi wako nao kwnn wasiwapeleke kwnye mahakama ya mafisadi.anataka nani awapeleke.
 
Sasa hapo ndiyo kajibu kiume?Nigger please!!!Kwanza ajifunze kuongea kwa mpangilio.Anaongeaje hovyohovyo tu?Hana mtiririko maridadi katika maongezi.Ajifue katika kuongea.
 
Ndio maana sisiemu itatawala milele wana vichwa na wasomi makini... wakati wenzao wakilia lia na kulalamika na kutafuta makosa au maneno yaliyosemwa na viongozi wapate pa kusemea cheki wanavojibiwa kisomi na kiume
ccm ingekuwa na vichwa isingekabidhi madaraka Kwa vichaa
 
Majizi wanawatisha wengine huku wao wanaiba na kupora na kuharibu tupeni zetu za makinikia si ndiyo mmetua ahidi ushindi. Silioni neno la kweli hapo. Mtazungushwa akili mkitishwa na kupigwa marisasi ili msisogelee wala kuongelea uhalisia wa maisha yenu.
 
Lazima itawale, maana ktk kila wa Tanzania wanne,watatu machizi.bashite,sizonje,polepole,bashiri
Afu huyo mmoja aliyebaki ni chizi nani, mbowe, lisu, msigwa, lema au luwasa? Ila luwasa sio wa huko ni wahuku.....😆
 
ukikubali kupigwa ngumi wakati mkononi umeshika panga ni uzembe mkubwa
 
Hivi kweli Lowassa alimkacha Bashiru? Mbona hii picha inaongea tofauti?
 
Katibu Wa CCM anaeacha alama Bashiru Yuko Vizuri Sana Kichwani anapangilia mambo Yake Anayotaka kuyazungumza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…