Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 207
around 1990s ALISEMAGA YEYE AKIRUDI CCM AMLALE MAMA YAKE))) alikuwa NCCR na hatimae akarudi CCM na akapewa kazi ya propaganda na baadae ubunge wa EAC. Nahisi kushinda huko ni plan moja wapo ya kum-twist bwana Zana Za Kilimo/ ZZK ili aone kuwa hatotupwa na yeye na chochote atakacho atapewa ili aweze kutumika kama kikamilifu kwenye mchezo wao wa 2015.
Huwa najiuliza je kweli kuwa watu/wanasiasa wa Kigoma ni mandumi la kuwili kupindukia au ni bahati mbaya tu?? wenyeji wa mkoa huo msaada tafadhali!!!

kwanini watangaze muda huo???Uchaguzi uliofanyika jana na matokeo yake kutangazwa saa 9 usiku na Dr Kabourou katangazwa kuwa mshindi kwa kumshinda mpinzani wake Ndg. William Ntahindula Luturi. Kwa taarifa huyu jamaa alishawahi kuwa chama cha upinzani na akaisumbua sana CCM
SOURCE. Mjumbe aliyekuwa ndani ya ukumbi
Dr.Kaburu aliwahi kupokewa kwa mbwembwe kutoka stesheni na kubebwa kwenye kiti maalumu na wapagazi hadi Ujiji(km.8). Kipindi hicho alikuwa CHADEMA.