Daaah!! This outrageous!
Jamaa kaniacha sina la kuongea kwa kweli, alikuwa hajui kama anarekodiwa!?
Na kama alijua nia yake lilkuwa ni nin!? Maana kamtukana Seif pia
,Au alilewa!?
Maswali ni mengi ila majib anayo mwenyewe.
*wenye dini yenu msipanick sana watu kama hawa huwa wana kuepo sku zote sema huyu kaenda mbali na kajirekod kabsa.
Nadhani ni tabia ya chama cha kijani hata kwenye vikao vyao itakuwa wanazungumza kwa lugha hii,pia hata kwenye mikutano ya halmashauri kuu ya chama wanajaza mashangingi na mashoga pale dodoma
Daaah!! This outrageous!
Jamaa kaniacha sina la kuongea kwa kweli, alikuwa hajui kama anarekodiwa!?
Na kama alijua nia yake lilkuwa ni nin!? Maana kamtukana Seif pia
,Au alilewa!?
Maswali ni mengi ila majib anayo mwenyewe.
*wenye dini yenu msipanick sana watu kama hawa huwa wana kuepo sku zote sema huyu kaenda mbali na kajirekod kabsa.
Mkuu hizo ndio akili za wanaCCM wote! Kuanzia wale vifaranga na hata yule mama yao mawazo yao ni sawa. Alimradi wewe uwe umekunywa gongo la CCM basi uko right kumtukana hata Mungu!