Mpango wa bwana mdogo (suprime leader/commander kim jong un) kutaka kukigeuza majivu Kisiwa cha Guam ambacho 30% ya kisiwa hiko ni kambi za jeshi za USA. Je atafanikiwa?
Mpango wa bwana mdogo (suprime leader/commander kim jong un) kutaka kukigeuza majivu Kisiwa cha Guam ambacho 30% ya kisiwa hiko ni kambi za jeshi za USA. Je atafanikiwa?
Mkuu hiyo ni danganya toto, Kim hana mpango wowote wa kushambulia kisiwa cha Guam wala nini sijui - Kim akifanya ujinga huo hata wale waliokuwa na nia ya kumsaidia kwa kificho watasita kumsaidia maana ataonekana ni mchokozi/mgomvi atajikuta yu peke yake na Mungu wake.
Kim akitaka afanikiwe asubiri mpaka ashambuliwe na U.S, hapo atapewa usadizi wa haraka kutoka kwa marafiki zake kama walivyo wahi kusaidiwa wakati wa vita ya 1951 - 53 huko huko Korea.