B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,727 Reaction score 1,214 May 28, 2012 #1 Naibu DPP amefariki dunia jana katika hospitali ya Regency, sos;mwananchi
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 538 May 28, 2012 #2 Kichwa cha habari DPP afariki. Maelezo naibu DPP afariki. Tuamini lipi mkuu?
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,601 Reaction score 6,723 May 28, 2012 #3 Mkuu rekebisha heading. Sio DPP ni msaidizi wake. RIP Msaidizi
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,601 May 28, 2012 #4 Wewe unataka watu wasome hii post yako kwa lazima mpaka unatumia uongo. Kwanza hii iliwekwa sawa na ilikuwa hapa jukwaani jana...
Wewe unataka watu wasome hii post yako kwa lazima mpaka unatumia uongo. Kwanza hii iliwekwa sawa na ilikuwa hapa jukwaani jana...
mayenga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 4,118 Reaction score 1,975 May 28, 2012 #5 RIP Bon.you were so smart upstairs.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 May 28, 2012 #6 Jina lake nani?? Mods. badilisheni title tafadhali..