Kaangalie conditions za zbigz free account. Kuna limitations nyingi ambazo ukisubscribe at Torrent2IDM hazipo.Sasa, mbona ni Zbigz? au wana resellers nao?
Nikisema niwekee maelezo yote hapa, thread itapelekwa kwenye forum ya matangazo madogo madogo (soma Jamii forums rules) kitu ambacho sio target yangu.Hata sijakuelewa,sasa kwanini usituandikie maelezo yote hapa hapa?
It's good kama umenisoma.....I think I knw wat ur trying to do, and i like it!... But hey, i love my MediaGet and Bittorrent
View attachment 126291
Kwa wale wanaotaka kudownload torrents kwa kutumia download manager kama IDM, wanaweza kwenda kwenye hii link:
Torrent2IDM.
Hakuna kikomo kwenye download speed na files zako zitatunzwa kwa mwezi mmoja.
Nenda kwenye hiyo link kupata maelezo zaidi.
Zbigs ndo mwaisho wa maneno tena ukitumia premium utashangaa.
Sirbuni nimependa hiyo Client yako kama IDM fulani emu nipe jina lake maana mm naona Tunec Inc wamenistukia nimecrack IDM sasa mtiti nikiwa nadownload Video Kuna kimessage kina nambia "Remember you activated your IDM with fake srial number"
Nakipiga Ok lkn 5minutes kinarudi mpaka nimeichoka ni bora nitumie 30days zikiisha na Uninstall naanza upya
Sasa kama hauto Mind kama Hiyo client ina capture Youtube Videos na non-u tube videeos nahisi itanifaaa
Kuondoa hiyo message nenda katika Installation folder la IDM rename "IDMGrHlp.exe" kwenda "IDMGrHlpOLD.exe" na "idmBroker.exe" kwenda "IDMGrHlp.exe" utakuwa umemaliza kazi.[/FONT][/SIZE]