Download JamiiForums Wallpapers for PC

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
hapa nimeweka na nitakuwa naweka kwenye uzi huu wallpapers za jamiiforums (submitted by users) ambazo mtaweza kupamba desktop za computer zenu....
pia soon zitakuja za mobile as soon as poassible nitakuwa nazitupia kadri ntakavyokuwa nazipata..

Jinsi ya kupakua...
Right click > Save as (hii hutofautiana katika browser tofauti tofauti)




submitted by: watu8





submitted by: watu8




submitted by: watu8




submitted by: watu8





submitted by: watu8




submitted by: C6





submitted by: C6





submitted by: PRISCUS JR




submitted by C6
 
Thanks! Lakini kwa kuanzia mngetuwekea hiyo ya Happy Holidays kwenye template ya sasa ya JF, sidhani kama italeta mkwaruzo wa kidini
 
mkuu C6 ungezimerge na uzi wa watu8 ili ziwe moja maana itapunguza ujazwaji wa thread zenye lengo moja..
nilitaka hii thread isiwe inawekwa comments iwe kwa ajili ya hizo wallpapers ila nikapata wazo lingine, hizo zingine ntazimerge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…