sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 137
Umenena ila urais hapati kwani zama za CCM zinaelekea ukingoni,tungependa atuongoze lakini chama chake tumekichoka na watanzania wanataka kubadili lishe.
Mgombea ubunge wa chama chake kule Igunga alizungumza maneno ya busara sana kuliko huyu bwana! (Nakumbuka maneno yake ya kuwataka vijana wasijianike kama "solar power", kuzinunulia shule "powertiller",( wasiende shuleni na majembe ya mkono kama baba Ubaya),mazao yao yatanunuliwa kwa paundi badala ya Tshs., na kuuza VX la ubunge kwa ajili ya maendeleo ya wana Igunga!
tena kwa mlo wa siku moja tu maana siyo expensive kiasi hicho..he is not potential to convice tanzanians.Ameshanunuliwa....!