Sharti la kwanza unatakiwa uwe na adsense account ambayo ipo active.
Web/blog inatakiwa iwe na traffic ya kutosha.
Baada ya kujiunga, utapata uthibisho toka google kwa kutumiwa mwaliko au third part company ambao wapo adx(google ad exchange).
Doubleclick ni kama mnada flani hivi na inakupa uhuru wa kuweka matangazo unatotaka kulingana na bei ambayo advertiser atatoa.
Kuna vigezo na masharti mengine ya kutimiza ili uweze kutumia DFP, jifunze zaidi kupitia link hii
https://support.google.com/admanager/answer/9059370