'Double Standards' katika ukaguzi Airports

'Double Standards' katika ukaguzi Airports

Joined
Jan 7, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Nimekuwa nikishangazwa na taratibu za ukaguz kutofautiana katika airports 3 nilizowah kupita hapa tz za Mwz, JNIA na KIA. Mwz lazima mzigo wako waufungue pamoja na kupita kwny scanner, siku moja nikiwa na hand luggage nikaambiwa deodorant yangu lazima ibaki, next tym nikamkuta mtu tofauti akanambia nikitaka nisafiri na deodorant bas hiyo luggage ikae upande wa mizigo (kwny boot) Cha ajabu nikipita KIA na hand luggage hawahangaiki kukagua, perfume, lotion, mafuta napita nayo . Waliopita Söngwe vp huko hali ikoje. Najua JNIA is more or less like Mwz
 
kwa kweli issue hii ya airport na ukaguzi wake usioeleweka unatia kichefuchefu. mwezi uliopita nilipita jnia na my hand laggage nilibeba perfum, body spray and lotion tena gram zaidi ya 100 havikutolewa. last week nimepita with same thing naambiwa haviruhusiwi!!!!! inaudhi sana labda wapatiwe darasa tena nini kinatakikana kwa hand laggage
 
Back
Top Bottom