90sgeneration JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 443 Reaction score 539 Jun 13, 2024 #1 kama unavoziona ziko 10 kila moja ni 230k material ni mbao ngumu location : Ilala 0697224996 Attachments 超级截屏_20240613_130953.png 1.2 MB · Views: 27 超级截屏_20240613_131019.png 1.9 MB · Views: 19 超级截屏_20240613_131036.png 1.1 MB · Views: 21
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 37,958 Reaction score 117,313 Jun 13, 2024 #2 Jana ulileta uzi wa kuuza Kabati,leo unauza sijui Double deka, Mumeo mpaka arudi kwenye safari yake atakuta nyumba nyeupe na mke karudi kwao Ifakara,kaenda kufungua Pharmacy. 😀
Jana ulileta uzi wa kuuza Kabati,leo unauza sijui Double deka, Mumeo mpaka arudi kwenye safari yake atakuta nyumba nyeupe na mke karudi kwao Ifakara,kaenda kufungua Pharmacy. 😀
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,375 Reaction score 6,885 Jun 13, 2024 #3 The Icebreaker said: Jana ulileta uzi wa kuuza Kabati,leo unauza sijui Double deka, Mumeo mpaka arudi kwenye safari yake atakuta nyumba nyeupe na mke karudi kwao Ifakara,kaenda kufungua Pharmacy. 😀 Click to expand... Yuko kazini huyo..hivyo sio vyombo vya nyumbani kwake
The Icebreaker said: Jana ulileta uzi wa kuuza Kabati,leo unauza sijui Double deka, Mumeo mpaka arudi kwenye safari yake atakuta nyumba nyeupe na mke karudi kwao Ifakara,kaenda kufungua Pharmacy. 😀 Click to expand... Yuko kazini huyo..hivyo sio vyombo vya nyumbani kwake