Double agent akamatwa ujerumani

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,067
Reaction score
2,229
Jasusi la kijerumani amekamatwa huko ujerumani kwa kosa la kuitumikia marekani...kutoa taarifa kwa marekani kuhusu majadiliano ya bunge la ujerumani kuhusu mvutano kati ya marekani na ujerumani yaliyohusu juu ya udukuzi.

Hali hii inatarajiwa kuongeza mvutano huu uliopo kati ya marekani na ujerumani.

Balozi wa marekani nchini ujerumani amejulishwa kuhusu ukamataji huo!

For more info...go to website ya Dailymail.
 
Hawa wenzetu wanajua wanachokifanya hapa kwetu majasusi wanapeleleza Ulimboka na chadema kuiokoa ccm iliyooza mpaka mifupa.
 
Hawa wenzetu wanajua wanachokifanya hapa kwetu majasusi wanapeleleza Ulimboka na chadema kuiokoa ccm iliyooza mpaka mifupa.

Uko sawa sana mkuu,TISS hawana lolote,wako busy sana kudhibiti upinzani,ccm imekuwa serikali inayotegemea walevi kuiweka mjini.
 
Hivi kweli kabisa nguvu hiyo mnayolalamikia ingekuwa imeelekezwa kingekuwepo hiko chama???!!!

Unakumbuka yale ya Mrema?alipandikizwa na akafanikisha na akarudi kwa baba yake japo ana jina lingine lakini sura ni ya baba yake aliyemtuma.Mimi sina Chama lakini navutwa na sera.Lakini hayo mapambano ya siasa zankishenzi yananikera!!!
 
Hayo labda yapo!!!!
Lakini sio kama yanavyokuzwa. Kama kweli yapo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…