Dotto Biteko! Bado Tunataka Ukweli Wa hii!

Dotto Biteko! Bado Tunataka Ukweli Wa hii!

Ukishauza kitu huna mamlaka nacho,
Umeuza jiwe, bado unataka umpangie uliemuuzia jinsi ya kuliita jiwe lake?
 
Ndiyo inaitwa schizophrenia,mtu anaongea nusu saa,akimaliza,bado hujui alikuwa anaongea juu ya nini.
 
Ufisadi kwa ccm ni maisha ya kawaida usimamizi wa Mali ya nchi hauko ccm inachojua ni kudeal na cdm

Taifa letu inaaibika sana kwa sababu ya watu Hawa wasioelewa wanatakiwa kufanya
 
Back
Top Bottom