Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,327
Hamna namna tumrudishe Makamba ufurahi.Naona wale wote waliokuwa mashabiki wa Magufuli wameamua Kwa makusudi kum push huyu Biteko kuvaa viatu vya Magufuli ili aje awe "the Next Magufuli" matokeo yake wanamshauri vibaya sana au pengine yeye mwenyewe kwa kujaribu kuvaa viatu vya Magufuli ndo anazidi kuharibu na since washauri sometimes ni kama wapambe na machawa hata akikosea hawamwambii ukweli.
Biteko anafanya makosa yake Yale yale ambayo wengine wanafanya lakini huoni akiambiwa lolote.. .bila kujali matokeo.
Biteko Kwa "kukurupuka au kukosa ushauri sahihi kaamua kusitisha likizo za wafanyakazi wote wa Tanesco Kwa muda usiojulikana, bila kujali huo uamuzi utaathiri watu wengi Sana hata ambao wengine si wafanyakazi wa Tanesco.
Wapo ambao walipaswa kwenda kuoa au kuolewa likizo ya mwaka wote wanapaswa tusubiri siku waziri akiamka vizuri na kurudisha likizo. .ndo wapange tarehe za harusi.
Wapi waliotaka kusafiri mbaali kutazama familia, wote hawa watasubiri. Wapo ambao wamechoka na wanataka kupumzika Ku "recharge" hawa nao watalazimika kwenda kazini hadi waziri akiamka na kukumbuka kuwa "kasitisha likizo".
Waziri anafanya maamuzi ya kuathiri watu wengi bila kushauriwa sahihi.
Zipo idara watu wapo wachache, hawawezi kwenda likizo wote Kwa mara moja lazima wajipange kila mwezi Nani anaenda Nani abaki, waziri keshatibua hili na haijulikani lini akiruhusu wangapi wataweza kwenda likizo kabla ya mwaka kuisha.
Yote haya for "political mileage"
Waziri Biteko alipoingia alibadili na mkurugenzi wa shirika halafu miezi michache baadae anaenda tena Tanesco kukoroma kuhusu utendaji bila kumpa nafasi Mkurugenzi mpya kufanya maamuzi yake bila "political interference" sasa hapa swali Waziri Biteko anashauriwa na nani? Hizi political interference Kwa shirika kubwa kama Tanesco zitaisha lini? Zina faida? Kama unaweka mkurugenzi unaemtaka na kumuamini why bado unaendeleza political interference?
Biteko anashauriwa na nani?
Naunga mkono hojaKatika viongozi ambao sikutegemea kuwa ni vichwa haswa ni huyo Biteko. Ukiambiwa mabalaa anayoyafanya huko wizarani huwezi kuamini, katika viongozi mahiri awamu hii Biteko anaongoza.
Tutegemee kumuona ngazi za juu zaidi awamu ijayo, anachapa kazi bila kelele.
Mmeanza majungu baada ya kuona umeme umeanza kutulia ili turudi kulekule sasa hao kama wa kanda ya ziwa wanachapa kazi na umeme unapatikana shida ipo wapi?Amepewa zawadi hiyo wizara Acha aichape atakavyo , chukua hii kanda ya Ziwa wameishika Tanesco Kwa sasa
1. WAZIRI
2. MWENYEKITI WA BODI
3. MKURUGENZI MTENDAJI
4. DIRECTORS KARIBU 50%
Huko Chini vimemo vya kanda ni kama vyote hizo Wilaya wanapena Tu.
CCM HAIJALALA!
Naam, si sahihi kumsingizia marehemu. Lkn pia wafanyakazi wa serekali wanadeka sana wanahitaji mtu wa kuwapeleka mchakamchaka, bila hivyo kila kitu kitakwama.Ili mradi tu asingiziwe magufuli,kila anachokifanya mtu binafsi jiwe anatajwa. Kizimkazi kila kukicha anavurunda eti nae mnasingizia anashauriwa vibaya. Mtu akivurunda ni yeye msisingizie washauri wake
Kwa ajili ya uwajibikaji ilikuwa sawa kufuta likizo washughulikie changamoto za umeme zilizokuwepo, kiongozi anayejitambua kufuta likizo au safari za nje ili kutatua changamoto huwa ni kawaida sana.Naona wale wote waliokuwa mashabiki wa Magufuli wameamua Kwa makusudi kum push huyu Biteko kuvaa viatu vya Magufuli ili aje awe "the Next Magufuli" matokeo yake wanamshauri vibaya sana au pengine yeye mwenyewe kwa kujaribu kuvaa viatu vya Magufuli ndo anazidi kuharibu na since washauri sometimes ni kama wapambe na machawa hata akikosea hawamwambii ukweli.
Biteko anafanya makosa yake Yale yale ambayo wengine wanafanya lakini huoni akiambiwa lolote.. .bila kujali matokeo.
Biteko Kwa "kukurupuka au kukosa ushauri sahihi kaamua kusitisha likizo za wafanyakazi wote wa Tanesco Kwa muda usiojulikana, bila kujali huo uamuzi utaathiri watu wengi Sana hata ambao wengine si wafanyakazi wa Tanesco.
Wapo ambao walipaswa kwenda kuoa au kuolewa likizo ya mwaka wote wanapaswa tusubiri siku waziri akiamka vizuri na kurudisha likizo. .ndo wapange tarehe za harusi.
Wapi waliotaka kusafiri mbaali kutazama familia, wote hawa watasubiri. Wapo ambao wamechoka na wanataka kupumzika Ku "recharge" hawa nao watalazimika kwenda kazini hadi waziri akiamka na kukumbuka kuwa "kasitisha likizo".
Waziri anafanya maamuzi ya kuathiri watu wengi bila kushauriwa sahihi.
Zipo idara watu wapo wachache, hawawezi kwenda likizo wote Kwa mara moja lazima wajipange kila mwezi Nani anaenda Nani abaki, waziri keshatibua hili na haijulikani lini akiruhusu wangapi wataweza kwenda likizo kabla ya mwaka kuisha.
Yote haya for "political mileage"
Waziri Biteko alipoingia alibadili na mkurugenzi wa shirika halafu miezi michache baadae anaenda tena Tanesco kukoroma kuhusu utendaji bila kumpa nafasi Mkurugenzi mpya kufanya maamuzi yake bila "political interference" sasa hapa swali Waziri Biteko anashauriwa na nani? Hizi political interference Kwa shirika kubwa kama Tanesco zitaisha lini? Zina faida? Kama unaweka mkurugenzi unaemtaka na kumuamini why bado unaendeleza political interference?
Biteko anashauriwa na nani?
Amepiga nini? na katangulizwa na nani Ili ampigie?Biteko sio yule unayemjua.
Ameambishwa asali tamu sana.
Ni watu aina ya kina Bashe .
Machoni mwa watu anajifanya mzalendo ila nyuma ya pazia ni kundi la wapigaji .
Amewekwa pale kimkakati.
Pilipiki mia saba kila mkoa sio mchezo
Ktk hili la mleta mada, sijaona alipoboronga.Kwa nini wanasiasa wa Bongo wanaporonga kwa sababu hawana uwezo mnasema ''wanashauriwa''?
Hii mijitu mingine midini dini hii bila kumtaja Magufuli kwa kila baya la nchi hii haiwezi kuishi. Huko CCM angalau Biteko ndiye anaonekana kuwa a voice of reason; na siyo mkurupukaji.Ili mradi tu asingiziwe magufuli,kila anachokifanya mtu binafsi jiwe anatajwa. Kizimkazi kila kukicha anavurunda eti nae mnasingizia anashauriwa vibaya. Mtu akivurunda ni yeye msisingizie washauri wake
Kati ya hao wafanyakazi shemeji kakumbwa na hiyo nini!Naona wale wote waliokuwa mashabiki wa Magufuli wameamua Kwa makusudi kum push huyu Biteko kuvaa viatu vya Magufuli ili aje awe "the Next Magufuli" matokeo yake wanamshauri vibaya sana au pengine yeye mwenyewe kwa kujaribu kuvaa viatu vya Magufuli ndo anazidi kuharibu na since washauri sometimes ni kama wapambe na machawa hata akikosea hawamwambii ukweli.
Biteko anafanya makosa yake Yale yale ambayo wengine wanafanya lakini huoni akiambiwa lolote.. .bila kujali matokeo.
Biteko Kwa "kukurupuka au kukosa ushauri sahihi kaamua kusitisha likizo za wafanyakazi wote wa Tanesco Kwa muda usiojulikana, bila kujali huo uamuzi utaathiri watu wengi Sana hata ambao wengine si wafanyakazi wa Tanesco.
Wapo ambao walipaswa kwenda kuoa au kuolewa likizo ya mwaka wote wanapaswa tusubiri siku waziri akiamka vizuri na kurudisha likizo. .ndo wapange tarehe za harusi.
Wapi waliotaka kusafiri mbaali kutazama familia, wote hawa watasubiri. Wapo ambao wamechoka na wanataka kupumzika Ku "recharge" hawa nao watalazimika kwenda kazini hadi waziri akiamka na kukumbuka kuwa "kasitisha likizo".
Waziri anafanya maamuzi ya kuathiri watu wengi bila kushauriwa sahihi.
Zipo idara watu wapo wachache, hawawezi kwenda likizo wote Kwa mara moja lazima wajipange kila mwezi Nani anaenda Nani abaki, waziri keshatibua hili na haijulikani lini akiruhusu wangapi wataweza kwenda likizo kabla ya mwaka kuisha.
Yote haya for "political mileage"
Waziri Biteko alipoingia alibadili na mkurugenzi wa shirika halafu miezi michache baadae anaenda tena Tanesco kukoroma kuhusu utendaji bila kumpa nafasi Mkurugenzi mpya kufanya maamuzi yake bila "political interference" sasa hapa swali Waziri Biteko anashauriwa na nani? Hizi political interference Kwa shirika kubwa kama Tanesco zitaisha lini? Zina faida? Kama unaweka mkurugenzi unaemtaka na kumuamini why bado unaendeleza political interference?
Biteko anashauriwa na nani?
Ila kanda ya ziwa hiyo tabia wanayo sana,ukienda pale chuo ubaharia kila idara wamejazana wenyewe,yan pale ni vululu vululu,kulikua na wakenya na waganda wanakuja kwa wingi kusoma pale ila now wameanza kupakimbia sababu ya utaratibu wa kishambaAmepewa zawadi hiyo wizara Acha aichape atakavyo , chukua hii kanda ya Ziwa wameishika Tanesco Kwa sasa
1. WAZIRI
2. MWENYEKITI WA BODI
3. MKURUGENZI MTENDAJI
4. DIRECTORS KARIBU 50%
Huko Chini vimemo vya kanda ni kama vyote hizo Wilaya wanapena Tu.
CCM HAIJALALA!
Naam, si sahihi kumsingizia marehemu. Lkn pia wafanyakazi wa serekali wanadeka sana wanahitaji mtu wa kuwapeleka mchakamchaka, bila hivyo kila kitu kitakwama.
Mf. Jana nilimwagiza mtu TRA Mwanza anichukulie control no. niweze kufanya malipo ya robo ya 2, huyo mtu alijibiwa kuwa hawatompa control no. mpaka mwenye TIN no aje mwenyewe!.
Btw siku hizi kwetu umeme haukatikikatiki, kama ni matokeo ya uamuzi wa Biteko, namuunga mkono.